Exodus 22:26-27

26 aKama ukichukua vazi la jirani kama rehani, ulirudishe kwake kabla jua kuzama, 27 bkwa kuwa vazi lake ndilo pekee alilo nalo la kumfunika mwili wake. Ni nini kingine atajifunika nacho? Atakaponililia, nitasikia, kwa kuwa nina huruma.

Copyright information for SwhNEN